Sababu Kubwa ya Wanawake Wengi Kuchepuka

Kuwa na Mpenzi asiyemridhisha, inaweza tokea mtu ana mtu wake lakini bado anahisi kama hayuko sehemu sahihi hivyo mara nyingi huwa hajisikii amani katika uhusiano, Siku za mwanzo atajitahidi kuvumilia ila baada ya muda uzalendo humshinda hivyo anaweza jikuta anajiachia kwingine.

Kutoridhishwa huku inaweza kutokea katika Nyanja zifuatazo:

  • Kiuchumi, yaani mwanaume amechacha hawezi kumhudumia mahitaji anayotaka.
  • Kingono, yaani mwanamke anashindwa kufikishwa kileleni na kumfanya afurahie mapenzi kama wengine.
  • Kitabia, hii hutokea pale mtu unapokuwa na mpenzi mwenye tabia tofauti ambazo hazikupi furaha hivyo anaamua kuachia ngazi na kuchepuka.  

Hivyo inashauriwa kuwa makini sana na mpenzi uliyenae na kumchunguza kama ni sahihi au la, ili asije akakutenda.

Toa Comment: Baada ya kusoma hii tunaomba tuachie maoni yako ili tupate mawazo yako kuhusu mada husika. Contact Us
Related Posts
COMMENT