Utafiti: Aina Hii ya Wanaume ni Hatari Zaidi Kitandani


Utafiti uliofanywa mwaka 1960 na daktari wa chuo kikuu cha Yale Dr James Hamiliton inaonyesha kwamba kuna uhusiano mkubwa kati ya usawa wa homoni ya testosterone kwa mwanaume na upara!

Wanaume wenye kipara wana idadi ya juu ya homoni ya testosterone hivyo wanakuwa na misuli zaidi na hivyo kufanya wawe na hamu na nguvu zaidi za kushiriki tendo la ndoa.

Kuwa au kutokuwa na upara hutegemea idadi ya testosterone iliyo mwilini ambapo ndiyo huchangia uwezo wa mwanaume kitandani.

Ukweli ni kuwa ni idadi nyingi ya homoni za testosterone ndiyo inachangia kuwa na upara!

Muhimu: Homoni ya ‘Testosterone’ ni homoni inazofanya mwanaume kuwa na hamu na uwezo wa kufanya mapenzi.

Pakua APP YETU ILIYOBORESHWA >>BOFYA HAPA<<

Toa Comment: Baada ya kusoma hii tunaomba tuachie maoni yako ili tupate mawazo yako kuhusu mada husika. Contact Us
Related Posts
COMMENT