Mwanadada Ikiwa Unataka Kuolewa Haraka Fanya Yafuatayo

Wadada wengi wa Mjini Wengi wamekuwa na dhana kuwa ukionyesha maungo ya mwili kwa kuvaa vinguo vifupi basi wataolewa haraka lakini kumbe wanajidanganya na kuishiwa kumegwa na kutupwa kule

Mie nawaambia Hivi Ukitaka kupata mchumba wa maana basi fanya yafuatayo:

Vaa nguo ndefu kuvuka magoti, zisiwe transparent, kifua kisiwe wazi, viatu flat, kucha na kichwa visiwe na manjonjo mengi, usiwe mwongeaji ovyo,epuka unywaji pombe, unnecessary outing, ukali usio wa lazima, nidhamu kwa wote, upole, bila kusahau usafi na ibada.

Ukiyafanya hayo yote hata kama umejificha uvunguni utaonekana tu! Bisha!

Toa Comment: Baada ya kusoma hii tunaomba tuachie maoni yako ili tupate mawazo yako kuhusu mada husika. Contact Us
Related Posts
COMMENT