Mambo Matamu 50 Ya Kusema Kwa Mwanamke/Mwanaume Wako

1.Umenifanya niwe mtu bora
2.Umenifanya nijisikie Kupendwa
3.I love you so much
4.Kila niwapo na wewe najisikia vizuri.
5.Sitasubiri kukuona tena
6.Napenda kutumia muda na wewe
7.Napenda niwe wako
8.Hakuna mtu anaweza kunipa amani nipatayo kwako
9. Napenda uso wako.
10.Nashukuru kukuona
11.You’re so beautiful/handsome
12.Unanijali vizuri
13.Unanifundisha vitu vipya kila siku
14.I love how funny you are
15.Unanitaka niwe mwenza bora, naweza kuwa hivyo kwa ajili yako
16.Asante kwa kuwa nyuma yangu kila mara.
17.Napenda uwepo wako
18.You’re amazing
19.Wewe ni mtu wangu pekee katika sayari hii
20.Kuwa na wewe napata furaha
21.Unaufanya moyo wangu utulie
22.I feel so loved by you
23.Napenda jinsi ulivyo mtu wa fikra
24.Mara zote unanipa ushauri mzuri
25.maisha ni mazuri nikiwa upande wako/ukiwa upande wangu
26.you’re the best
27.Kamwe sitaki kuwa na mwingine lakini wewe
28.Wewe ni familia ambayo nilitaka niwepo
29.Kila wakati unajua kitu kizuri cha kusema
30.Napenda maisha tuliyonayo pamoja
31.Siamini jinsi nilivyo na bahati ya kuwepo na wewe.
32.Sijawahi kusikia hali hii niliyo nayo kuhusu wewe
33.Unanifanya niwe mwanamke bora/mwanaume bora kwa sababu niko na wewe.
34.Napenda jinsi ulivyo na akili
35.Wewe ni mwenza mzuri
36.Nafurahia ninapokuwa na wewe
37.you’re incredible
38.Una akili sana
39.Unaufanya moyo wangu ushibe
40.Kila niwapo na wewe  nina furaha
41.Nakutamani
42.Umeniletea furaha
43.Sihitaji mtu mwingine ni wewe
44.Tukue sote pamoja
45.Nashukuru kukupata
46.Najisikia vizuri ninapokuwa karibu yako
47.Najisikia kupata msaada mkubwa kwako
48.Maisha ni mazuri sana nikiwa na wewe
49.Sitaboreka nikiwepo na wewe
50.You make me so happy.

kama umependa makala share kwa wengine.

Toa Comment: Baada ya kusoma hii tunaomba tuachie maoni yako ili tupate mawazo yako kuhusu mada husika. Contact Us
Related Posts
COMMENT