Mbinu za Kumtamanisha Mumeo Kufanya Mapenzi, Zipo Hapa

Katika familia au mahusiano mengi ya Kiafrika yamekuwa yakikumbwa na changamoto kubwa za gomvi miongoni mwao hasa michepuko isiyo ya lazima pindi na hasa mapenzi yanapokuwa siyo ya kujitosheleza katika mahusiano fulani.
Leo nitatumia fursa hii kuandika machache yatakayomsaidia mwanamke kumfanya mmewe awe active mara nyingi, kumfanya mmeo atamani kufanya mapenzi nawe.
Inakadiriwa kuwa wanawake ndiyo wanaopenda sana kufanya mapenzi kila muda au kila siku kitu ambacho ni tofauti kwa wanaume; hii ni kwa sababu wanaume wengi huwa bize kwa utafutaji wa kipato cha kulisha mkewe na familia, pia kama kuna ugomvi unaoendelea baina yenu, kukua kwa video za ngono mitandaoni na picha ziendanazo na mapenzi, hisia mbaya tu zozote zinamfanya mwanaume asiwe na mshawasho na mkewe, au kama anahisi humheshi, au ulishamuoneshea kuwa alikupata kwa bahati mbaya tuu hii pia itamuumiza na kumfanya akose hamu ya kimapenzi. Lakini kama hakuna tatizo dhidi ya hayo basi litakuwa ni tatizo jingine la kitaalam.
Njia muhimu za kumfanya mwanaume avutiwe kufanya mapenzi mara nyingi ni kama zifuatazo;
KUMBUKA: Kama si ubize wa kazi na matatizo madogomadogo ndiyo yanamnyima hamu (anapata hisia pale tu akiangalia mwanamke mwingine tofauti na wewe, au picha za wanawake wengine) basi hizi si njia sahihi…
NJIA ZA KUFUATA KUMVUTIA MUMEO KUFANYA MAPENZI MARA NYINGI/KILA SIKU.
 • Mfanye Akufikirie Wewe
 • Ongea Naye Kimapenzi/Kimahaba
 • Lala naye Uch1 wa mnyama
 • Mguse guse kichokozi
 • Muoneshe show yako binafsi
 • Jirekodi na kamera (Picha au video)
 • Jiongeze kama kinyonga (badilika)
 • Usiulize we fanya tu.
 • Ondokana na Hofu
 • Mbambatishe abambike
 • Muombe msamaha/ tubu
 • Jianike uwazi wako kwake
 • Mfahamishe wewe ni mzuri
Hizi ni baadhi ya vipengele vitakavyokuwa vikielezewa kwa kina ili kukunufaisha wewe msomaji wetu. Nitaanza kuelezea mada moja moja kwani zimechimbwa kiundani zaidi.
Msomaji wetu kama unaguswa na mada hii tuandikie maoni ni kipengele kipi nianze kukielezea kwa manufaa ya ndoa au mapenzi yako.

#share na marafiki pia.

Toa Comment: Baada ya kusoma hii tunaomba tuachie maoni yako ili tupate mawazo yako kuhusu mada husika. Contact Us
Related Posts
COMMENT