Ukiwa na Mwanamke Chumbani Alafu Akakwambia Maneno Haya Usipoelewa Basi Wewe ni Boya

1. Unapokuwa umetembelewa na mwanamke/msichana chumbani kwako kisha anakuambia funga pazia chumba kiwe giza sipendelei mwanga, unafanya hivyo kisha unakuwa kama zimwi ujauelewa ujumbe wake hapo. My brother wewe ni bonafide dumb

2. Pindi akikuambia anajisikia baridi kisha unazima AC unawasha fan. My brother wewe ni bigwa wa kutoelewa ujumbe.

3. Pindi mkiwa mnatazama movie nzuri kisha anakuambia ainjoy then unamuambia muangalie movie nyingine anakuambia HAPANA… kama utakuwa bado ujampata ujumbe wake wewe ni boya katila level ya Master’s

4. Kama atakuambia ataondoka muda siyo mrefu akawa anakukumbusha kila baada ya dakika kadhaa kupita ukawa ujaelewa ujumbe wake. Wewe ni boya katika level ya PHD.


USISAHAU KUJIUNGA NASI FACEBOOK LIKE PAGE YETU BOFYA LIKE HAPA CHINI

Toa Comment: Baada ya kusoma hii tunaomba tuachie maoni yako ili tupate mawazo yako kuhusu mada husika. Contact Us
Related Posts
COMMENT